Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar imempiga marufuku Katibu wa Jumuiya ya taasisi ya Kiislamu
shekhe Issa Ponda Issa kuendesha mihadhara ya kidini katika ardhi
ya Zanzibar yenye muelekeo wa kuleta mifarakano, chuki na uhasama.Makamo
wa pili wa rais balozi Seif Ali Iddi alisema hayo wakati akiahirisha
kikao cha Baraza la Wawakilishi cha bajeti kwa mwaka wa fedha 2013-2014.Balozi
Seif
↧