Habari zinasema kwamba baada ya saa tatu za ku pambana na janga hilo,
hatimaye moto huo umeweza kudhibitiwa na hakuna mtu aliyeripotiwa
kudhurika.
Abiria waliokuwa wanasafiri wamepelekwa mahotelini na ndege
zilizokuwa zitue JKIA zimeelekezwa kutua uwanja wa kimataifa wa Moi,
Mombasa
<!-- adsense -->
↧