Chris Brown anafikiria kuachana kabisa na muziki siku za usoni na
amesema huenda X ikawa albam yake ya mwisho.
Breezy ametumia akaunti
yake ya Twitter kuelezea kuchoshwa na kuandikwa vibaya kila kukicha
kutokana na kosa alilolifanya akiwa na miaka 18 la kumpiga aliyekuwa
mpenzi wake Rihanna.
Wataalamu
wa mambo wanasema Chris Brown ameandika hivyo kutokana na msongo wa
mawazo alionao
↧