Muimbaji wa ‘Niwe Nawe Milele’ Rehema Chalamila aka Ray C jana alifanya
interview ya kwanza ya TV tangu takriban miezi 10 iliyopita baada ya
kujichimbia kupata matibabu ya madhara aliyokuwa amepata kutokana na
matumizi ya madawa ya kulevya.
Akiwa na muonekano mpya, mchangamfu, aliyenawili, mrembo na mwenye
afya njema, Ray C alizungumza kwa undani kwenye The Interview ya Clouds
TV kuanzia
↧