Mganga
mfawidhi wa Hospitali ta Wilaya ya Tunduru Dkt. Joseph Ng'ombo
akimuangalia mtoto huyo aliyezaliwa akiwa hana macho, pua na Shavu
linalo shika mdomo wa juu, kushoto ni mkunga wa zamu katika Hospital
hiyo Rukia Nguo akiwa akiwa amekishika kichanga
Huu ndo muunekano wa kichanga hiki usoni.
Mkono
wa mkunga huyo ukionyesha maungo ya kichanga hicho
↧