Siku za mwizi ni 40....
Kauli hiyo ya wahenga ilitimia Jumatatu iliyopita
kufuatia msichana Pili Baraka (21) aliyevishwa pete ya uchumba na mpenzi
wake hivi karibuni kujikuta akitupwa Gereza la
Segerea jijini Dar baada ya kunaswa kwa tuhuma za ukahaba,
Mrembo huyo alifikishwa kwenye Mahakama ya Sokoine Drive (Jiji) na
kusomewa shitaka na mwendesha mashitaka wa mahakama hiyo,
↧