Habari zilizopatikana majira ya saa kumi kasoro robo alasiri ya leo zinafahamisha kuwa, Mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha na mmiliki wa hoteli amepigwa
risasi na watu wasiojulikana katika eneo la Mijohoroni upande wa
kulia (punde tu baada ya Boma Ng’ombe ukitokea Moshi kuelekea Arusha),
mchana wa leo, alipokuwa ameitikia wito alioitiwa wa mazungumzo ya
kibiashara ya
↧