<!-- adsense -->
Mwanafunzi wa chuo kimoja hapa nchini ameambulia aibu ya mwaka baada ya picha zake chafu kuvuja katika mtandao wa facebook wakati "akichati" na darling wake.....
Katika mazungumzo yake na mpenzi wake, denti huyo alijikuta akikosea kumtumia picha mpenzi wake na kujikuta akiiweka katika wall yake huku ikisindikizwa na maneno
↧