Epiq Bongo Star Search ya mwaka 2013 haitaoneshwa tena kupitia ITV.
Mwaka huu shindano hilo la kusaka vipaji vya kuimba litakuwa likioneshwa
kupitia TBC1.
Kupitia Facebook, Rita Paulsen aka Madam Rita ambaye ni
mwanzilishi na jaji mkuu wa shindano hilo ametoa sababu mbili za
kuhamisha matangazo hayo kutoka ITV hadi TBC1.
“Baada ya kusoma maoni yenu, ningependa kufafanua sababu mbili
↧