Imeelezwa
kuwa Baadhi ya wazazi na walezi wilayani Kahama mkoani Shinyanga
wamekuwa wakiwazuia walimu kutoa elimu ya njia ya kujikinga na ukimwi
kwa watoto wao wa sule za msingi ikiwemo matumizi sahihi ya condom. Hayo
yamebainika leo katika semina iliyoandaliwa na shirika la UNESCO
iliyojumisha wakuu wa shule za msingi na sekondari pamoja na mashirika
yasiyo ya kiserikali
↧