MTOTO mchanga wa kike wa eneo la Sabasaba wilayani Tarime Mkoa wa Mara,
Maria Samwel anatakiwa kuhamishiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando
ya jijini Mwanza kwa ajili kuondolewa uvimbe wa ajabu uliopo kisogoni.
Mganga Mfawidhi wa Wilaya, Dk. Marco Nega alimwambia mwandishi wetu kuwa
walifikia uamuzi wa kumhamishia mtoto huyo Hospitali ya Rufaa ya Bugando
baada ya kubainika kuwa
↧