Wakati
matukio ya baadhi ya vigogo na wasanii maarufu wanaotuhumiwa
kujihusisha na biashara ya dawa za kulenya hayajapoa, imebainika kuwa
mtambo maalumu wa kuchanganya na kuziongezea thamani dawa hizo upo hapa
nchini.
Taarifa zilizolifikia gazeti hili zimeeleza kuwa
mtambo huo ambao awali ulikuwa unapatikana Mombasa, Kenya, pekee,
unatumika kuchanganya dawa za kulevya na kemikali
↧