Mfanyabiashara mashuhuri wa mjini Moshi, (jina linahifadhiwa)
ameingia katika kashfa nzito baada ya kurekodi mkanda wa video
ukimwonyesha akimlawiti mfanyakazi wake wa dukani.
Kifungu namba 154 cha kanuni ya adhabu kimeweka
adhabu ya kifungo cha maisha kwa mtu anayepatikana na hatia ya kufanya
mapenzi na mtu mwingine kinyume cha maumbile.
Video za
↧