Hii ni kauli ya mtoto wa kigogo hapa nchini maarufu kwa jina la William Malecela ambayo ameitoa kupitia blog yake akiuelezea mtazamo wake kuhusu Sakata la Ponda kupigwa risasi na polisi....
Malecela ameanza kwa kuuchambua wadhifa wa Sheikh Ponda, huku akikumbushia vurugu za mwembechai na mahubiri ya kichochezi ya Ponda dhidi ya serikali na
↧