Baada ya maneno na tuhuma nzito za Ney
wa Mitego dhidi ya Mshindi wa Epiq Bongo Star Search mwaka 2012, Walter
Chilambo kuwa huenda amedhulumiwa zawadi yake ya ushindi, Shilingi
Milioni 50 na waratibu wa shindano hilo kwa sababu mpaka sasa yupo
katika maisha duni, Msanii huyu amevunja ukimya na kusema kuwa yeye yupo
vizuri kifedha.
Walter amesema kuwa maneno ya Nay hayana
ukweli
↧