Mpendwa msomaji wetu, tunaomba radhi kwa kutukosa katika ukurasa wetu wa facebook ambao uliingiliwa na watu wasio na nia njema.
Tumelazimika kufungua ukurasa mpya ili kurahisisha upatikanaji wa habari zetu kama ilivyokuwa hapo awali....
Hata hivyo, tunapenda kutoa shukra za dhati kwa wasomaji wetu kwa kutuwezesha kushika nafasi ya 5 ya mitandao bora
↧