Msanii Madee alivyokuwa airport huko South Africa alipekuliwa sana
kutokana na historia ya kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya
kwenye viwanja vya ndege vya huko South Africa.
Tukio hilo limewatokea
Mwana F.A akiwa na swahiba wake A.Y baada ya kufika bondeni kwa ajili ya
show ambapo wamepekuliwa kupita kiasi
Mwana F.A
hali ilimshinda ikabidi aanze ku-share na marafiki
↧