Chama
Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kagera, leo kimewafukuza madiwani 8 wa
Manispaa ya Bukoba kupitia chama hicho na kufutwa nyadhifa zao za
udiwani kutokana na mgogoro uliokuwa ukiendelea
Waliofukuzwa ni:
Richard Gaspar (Miembeni )
Murungi Kichwabuta (Viti maalum)
Alexander Ngalinda ambaye pia ni Naibu Meya (Buhembe)
Yusuf Ngaiza ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa wilaya (Kashai)
↧