Wengi
wa wahamiaji haramu waliokuwa mkoani Kagera ambao wengi wao ni wanyarwanda
wamekimbilia Uganda kama wakimbizi lakini makambi ya wakimbizi huko
Uganda yamekataa kuwapokea. Pamoja na serikali ya Rwanda
kupitia ubalozi wake Uganda kufanya jitihada ya kutaka kuwarudisha
Rwanda lakini wakimbizi hao wamegoma kurudi kwao kwa hofu ya kuuawa wakirudi Rwanda....
Source: jamii
↧