Rapper Chidi Benz leo kwa mdomo wake mwenyewe amekiri kuwa alikuwa
akitumia madawa ya kulevya kwa miaka mingi. Chidi amefunguka leo kwenye
kipindi cha XXL cha Clouds FM.
Alisema japo hakwenda Nairobi kwaajili ya rehab, mazingira
yalimlazimu kutafuta tiba ili aondokane na madhara ya madawa hayo.
Alieleza kuwa alipofika jijini Nairobi alikuwa akitakiwa kufanya show
nyingi na mwandaaji
↧