RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Wizara ya
Afya kupitia kitengo cha magonjwa ya akili pamoja na Tume ya Kuratibu
Udhibiti wa Dawa za Kulevya nchini kushirikiana na Kituo cha Ushauri
Nasaha cha Pili Misana Foundation, ambacho kinawasaidia waathirika wa
madawa ya kulevya ili kiweze kuwahudumia watu wengi zaidi hapa nchini.
Taarifa ya Ikulu kwa vyombo vya habari
imesema kuwa Rais Kikwete alitoa
↧