Daktari mmoja nchini Urusi, Andrey Votyakov (bingwa katika fani ya
usingizi) mapema mwezi uliopita alitimuliwa kazi baada ya video ya
chumba cha upasuaji inayorekodi matukio (surveillance camera) kuoneshwa
hadharani ambapo daktari huyo alionekana akilumbana na mgonjwa
aliyefungwa kitandani na baadaye kumshushia makonde usoni na kifuani,
upande wa kushoto.Mgonjwa huyo aliyekuwa katika
↧