Kaka mtu akitiwa mbaroni
MWANAFUNZI wa kidato cha pili jina kapuni (16), amejikuta akiozeshwa na
wazazi wake kwa mwanaume aliyetambulika kwa jina la Kaizilege Jabiri
(31) ambaye ni mtoto wa mama yake mkubwa...
Tukio hilo lilitokea Juni 14, mwaka huu jijini Dar nyumbani
kwao Mlandizi, Bagamoyo, Pwani ambako mwanaume huyo alifunga ndoa na
binti huyo na kurejea naye nyumbani kwake, Ubungo
↧