Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kagera jana
tarehe 13/08/2013 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika mjini
Bukoba imetangaza uamuzi wake wa kuwafutia dhamana ya CCM hivyo kuwavua
Udiwani Madiwani wanane wa Manispaa ya Bukoba waliotokana na CCM.
Kwa mujibu wa utaratibu wa kutoa adhabu kwa viongozi wa CCM walio
kwenye vyombo vya dola hasa Wabunge na Madiwani uamuzi wa
↧