Mwamuzi na wachezaji
watatu wa timu ya Serengeti SC ya wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa
wamelazwa kwenye kituo cha Afya cha Laela baada kushambuliwa na kwa
kupigwa sehemu mbalimbali za mwili katika mchezo wa Ligi ya ujirani
mwema.Mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi
Kisalala kata ya Laela, ulitamatia dakika ya 75 baada ya kundi la
mashabiki wa Serengeti FC kuanza
↧