Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za
Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda amesomewa mashitaka ya
uchochezi na Mwanasheria wa serikali, akiwa wodini MOI anapoendelea
kupata matibabu.
Sheikh Ponda arijeruhiwa Jumamosi iliyopita akiwa
katika mhadhara wa Kiislamu huko mkoani Morogoro.
Baada ya kujeruhiwa
Ponda alilazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kuhamishiwa
katika
↧