<!-- adsense -->
Hivi unaweza kuamini mshiriki huyu ameweka rekodi ya BBA house
baada ya kutokuwa nominated kwenye jumba la BBA tangu mashindano yaanze.
Baadhi ya wadau wameanza kudai kuwa mwanadada huyo anatumia KIZIZI cha kingeria huku wakizihusisha video zake za utupu ndani ya jumba hilo kuwa ni tambiko tosha la kumfanya asiguswe
Hapa namzungumzia Beverly,
↧