Mwakilishi wa Tanzania katika jumba la
Big Brother 'The Chase' aliyetolewa Jumapili Agosti 11 Feza Kessy
amewasili leo jioni Tanzania katika uwanja wa kimataifa wa Mwl J.K
Nyerere jijini Dar es Salaam. Katika mapokezi watu mbalimbali
walijitokeza kumpokea Feza Kessy akiwemo Vanessa Mdee,Mama mzazi wa Feza
kessy,ndugu jamaa na marafiki pamoja na Meneja wa Uhusiano wa
↧