MWANAFUNZI wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari
Marangu inayomilikiwa na kanisa Katoliki jimbo la Moshi, (jina
limehifadhiwa) alitekwa na kukufungiwa kwenye hoteli moja ya kitalii
mjini hapa na kufanyiwa vitendo vya ngono kwa muda wa siku nne
mfululizo.
Mwanafunzi huyo anadaiwa kutekwa Agosti 6 mwaka huu na kijana mmoja
(jina linahifadhiwa) mfanyakazi wa kampuni ya
↧