MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliofukuzwa katika Manispaa ya
Bukoba, wamesema wako tayari kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), kama chama chao kitaendelea na msimamo wa kuwafukuza.
Akizungumza na MTANZANIA kwa njia ya simu jana, mmoja wa madiwani hao
ambaye alikataa kutaja jina na kata yake, alisema wako tayari kuhamia
Chadema muda wowote kama hawatarudishiwa
↧