MWALIMU wa Shule ya Msingi Morotonga, wilayani Serengeti, Mkoa wa Mara,
Karata Mugunda, anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani hapa, kwa
tuhuma za kumpiga na kumlisha kinyesi mtoto wake wa kumzaa mwenye umri
wa miaka 10.
Mwenyekiti Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za
Binadamu, Wilaya ya Serengeti, Samwel Mewama, alithibitisha kutokea kwa
tukio hilo na kwamba mtoto huyo alilishwa
↧