Wafuasi wa Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania,
Sheikh Issa Ponda wamepiga kambi katika Gereza la Segerea, Dar es
Salaam wakitaka kumwona bila mafanikio.
Wakizungumza jana nje ya gereza hilo, wafuasi hao
walisema walipofika hapo saa nne asubuhi waliambiwa kwamba tayari ndugu
zake wanne walikwisharuhusiwa kuingia kumwona.
“Tumeambiwa
↧