Waziri wa uchukuzi Prof. Harrison
Mwakyembe alimtaja mshukiwa mmoja wa dawa za kulevya aitaye Nassoro
Mangunga na kuwataka polisi wamtie nguvuni popote atakapoonekana....
Hata hivyo, mshukiwa huyu pamoja na picha zake alishaandikwa na
gazeti la SANI katika toleo lake la Agosti 7-9, 2013 (toleo la 1042)
pamoja na namna alivyosafirisha mzigo pamoja na akina Masogange.
Hii ni
↧