MWANAFUNZI wa darasa la saba katika Shule ya Msingi ya Sokoine,
Manispaa ya Dodoma (jina linahifadhiwa), anadaiwa kuwekwa kinyumba na
mwalimu wake David Macha (30).
Mwanafunzi huyo wa miaka 14 ni kati ya watoto wanaofadhiliwa na
shirika lisilo la kiserikali la Compassion International Tanzania kituo
cha Tz 807 FPCT kilichoko Chamwino.
Hata hivyo, katika hali ya kushangaza Jeshi
↧