Tajiri ambaye ni mfanyabishara mkubwa katika maduka ya
Kariakoo, Dar aliyetajwa kwa jina moja la Urio anadaiwa kumvunja nyonga
na kumjeruhi mkewe Eva Pascal anayeuguza majeraha kwenye Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili.
Akizungumza kwa uchungu akiwa wodini hospitali hapo, Eva au mama Tina
alisema kuwa tukio hilo lilitokea hivi karibuni nyumbani kwao
Kimara-Temboni, Dar.
Mama Tina
↧