OFISA wa cheo cha juu katika Jeshi la Wananchi (JWTZ), anayeaminika kuwa
na asili ya Rwanda, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha, huku
akiacha wingu la mashaka kwamba, hatua yake hiyo inaweza ikawa
imeambatana na kupotea pia kwa baadhi ya taarifa muhimu za kijeshi.Taarifa
za kutoweka kwa ofisa huyo mwenye cheo cha luteni kanali, zinalihusisha
tukio hilo na hatua za makachero wa JWTZ
↧