Unapiga Picha unaandika maneno mazuri tu
na kupost Facebook ama Instragram ,''Asante Mungu kwa siku hii ya
Jumatatu,AMEN''...
Cha kushangaza ni kwamba picha yenyewe umepiga makalio yako na umeyageuzia kwa
watazamaji.Kwani kuna uhusiano gani wa Makalio yako na siku ya
Jumatatu???
Au unamaanisha yana shape ya Jumatatu?Halafu wengine basi tu
mnapenda kuweka lakini wala shape
↧