MTAWA wa Kanisa Katoliki la Bububu visiwani Zanzibar, Sister Irene
Ludovik Mwenda (34), amevamiwa na watu wasiojulikana na kushambuliwa na
marungu, hali iliyomsababishia maumivu makali mwilini. Sakata la mtawa
huyo lilitokea jana, baada ya kuvamiwa na vijana wapatao kumi, baada ya
mtawa huyo kuwa anafuga mbwa ambaye inaelezwa kuwa alikula kuku wa mmoja
wa vijana hao.
Tukio hilo lilitokea
↧