Chama cha Wasafirishaji wa Mafuta
Tanzania (Tatoa), kimesema Rwanda na Uganda zitajitoa kutumia Bandari ya
Dar es Salaam kuanzia Septemba Mosi, mwaka huu.
Katibu Mtendaji wa Tatoa, Zacharia
Hanspope aliwaambia waandishi wa habari jana baada ya kukutana na Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuwa nchi hizo zinajitoa kutokana na
matatizo mbalimbali ambayo kwa muda mrefu zimekuwa
↧