Ndege ndogo ya shirika la
Tanzanair iliyokuwa ikitokea mjini Bukoba mkoani Kagera kwenda Dar ss
Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ziwa Manyara baada ya injini
yake moja kuzimika ghafla ikiwa angani.
Ndege hiyo ilikuwa na abiria
sita na rubani mmoja ambapo wote wamejeruhiwa na kukimbizwa katika
Hospitali ya Seliani mjini Arusha kwa matibabu.
Chanzo: ITV
<!-- adsense -->
↧