Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO
Assah Mwambene leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na
waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara hiyo amekanusha taarifa
zilizoandikwa kwenye mtandao wa News for Rwanda na wanyarwanda kuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ni shemeji wa aliyekuwa
Rais wa Rwanda Juvenal
↧