JESHI la Polisi nchini, limetangaza ajira mpya kwa vijana waliohitimu
kidato cha nne na sita mwaka jana. Taarifa za jeshi hilo, ambazo
zimewekwa kwenye mtandao wa jeshi hilo, zinasema vijana katika mikoa
yote wanatakiwa kufika kwenye ofisi za makamanda wa polisi mikoa kwa
ajili ya usaili.Taarifa hiyo, ilisema kila mkoa umepangiwa siku
yake na kwamba kila kijana anapaswa kuwa na vyeti
↧