JESHI LA wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetoa ufafanuzi kwa kusema kuwa
askari wake aliyetoroka jeshini Luteni Kanali Coelestine C. Seromba kwa
kusema kuwa ni mzaliwa wa Kagera na siyo Rwanda.Jeshi hilo
limevitaka vyombo vya habari kuacha kuripoti taarifa potofu za afisa
huyo ambaye alikuwa akikabliwa na tuhuma za makosa ya kijeshi na baadaye
akatoweka wakati mchakato wa kumfungulia
↧