Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kati,
Usharika wa Segerea Wilaya ya Ilala, limechomwa moto na watu
wasiojulikana usiku wa kuamkia jana.
Tukio hilo lilitokea saa saba usiku, wakati
waumini wa kanisa hilo wakiwa katika mkesha wa maombi ya maandalizi ya
mkutano wa injili unaoanza leo.
Mchungaji wa kanisa hilo, Noah Kipingu
↧