Kwa kawaida miaka 14 inafaa kuwa ndio unafurahia ujana na utoto wako.
Lakini sivyo kwa msichana mmoja huko Bungoma, ambaye sasa ni mzazi, na
si wa mtoto mmoja, bali watoto watatu, aliojifungua kwa pamoja.
Msichana
huyo mdogo anasema alipewa ujauzito huo na kijana wa umri wa miaka
kumi na sita, na kama anavyiripoti Agnes Penda ni taarifa ambayo
inaongeza tu idadi ya visa vya
↧