Baada ya tuhuma za kuiba wimbo wa H.Baba
na Pasha,Msanii Naseeb Abdul Diamond Platnum, ameingia
tena ndani ya tuhuma nzito baada ya madai kwamba wimbo anaotaka kuuachia wa No.1
ni wa Dayna.
Inasemekana awali Dayna alimtaka Diamond wakafanye wimbo
kwa Shedy, Diamond akakubali, akaskiliza mdundo na kumuahidi Dayna
kwamba wangefanya wote.
Lakini baadae Diamond akamrubuni Shedy na
↧