MWANASIASA mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, amejitosa katika
mgogoro wa kidiplomasia uliopo kati ya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa
Rwanda, Paul Kagame.
Akizungumza na MTANZANIA Jumatatu mwishoni mwa wiki
nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar es Salaam, Kingunge alimshangaa
Rais Kagame kwa jinsi alivyouchukulia vibaya ushauri wa Rais Jakaya
Kikwete, aliompa juu ya waasi wa nchini
↧