Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo, aliyefarika Nchini Congo, akiwa katika Jeshi la Kulinda Amani.
Ndege iliobeba Mwili wa Marehemu Meja Hatibu Shaban Mshindo ikiwasili
katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar
ikitokea Dar-es-Salaam.
Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar wakijumuika na Ndugu
↧