RAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela (95), jana aliondolewa
hospitali na kurejeshwa nyumbani ambako ataendelea na matibabu ya
maradhi ya mapafu.
Hata hivyo, taarifa ya Serikali ya Afrika Kusini
imesema uamuzi huo hauna maana kwamba Mandela amepata nafuu kwa vile
hali yake bado ni mbaya na wakati mwingine hudorora zaidi.
Taarifa hiyo imeongeza timu ya madaktari wa Mandela
↧