JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeleezea namna mwanajeshi wake, Meja Khatibu Shaaban Mshindo, alivyouawa baada ya kuangukiwa na bomu, wakati akiwa katika jukumu la ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Pamoja na hayo, Watanzania wametakiwa kuimarisha mshikamano na kuachana na makundi yenye nia ya kuleta mgawanyiko, hasa katika kipindi hiki
↧